Labda kwa sababu ni ya mwanasiasa?
Labda kwa sababu iko Tanzania na muhusika hajawahi kupitia changamoto hivyo inaweza kuwa na matobo ya kiusalama?
Labda watu wanajiuliza itakuwaje ikitokea mmiliki akaamua kuunga mkono juhudi?
Labda kwa Sababu haikufanikiwa kuwa mbadala wa JF wakati wa amani?
Inaonekana haijafungwa, wenda ni kwa sababu haina madhara au TCRA hawaijui?
Labda…
Labda…
Buda hiki Kiswahili chako nakishuku sana. You don’t come off as a Tanzanian. Ama umekaa 254 kwa muda ? Anyway, usijali ni vile napenda kuchora map nikitumia diction. jibambe.