Natafta line ya faiba na nko nakuru utakuwaje buana

:(:(:frowning:

From the app. Naivas Naivakom Nakuru.
[ATTACH=full]157264[/ATTACH]

Enda Jamii Telecom hapo Polo centre

Mazuri ni gani na hiyo line…kwa mutu ya kawaida kama mimi

Ni kitu kama how much?

Line ni bure.Ata afadhali ungeuliza bei ya bundles lakini ni sawa tu.

Tuskys utapata…

:D:D:D
Peasants kila mahali S.V niko na Samsung J1 can it do the miracle ama niwachane na hii mambo.?