NASKIA SHORT PIA WAKIPIGA CZECH ANA WACHEKA!!!!

Hiiyo!!! Game ya man u. Imeisha aje???

haijaisha bado players wa man u wako kwa kiwanja wakitafuta mpira

4 Likes

at least hakuna needless maombolezi na kusaka ma-P3 wiki hii…

1 Like

Upus

ni poa umechange mind

ku-change mind ya nini? sisi tulikamuliwa na saints jana na tukatulia juu tunajua kisiagi chetu kimechoma mota siku hizi…ni wale wamezoea kuvunja watu ma-jaw na ma-meno we were worried about…

1 Like

Niaje gashwin, leo nime enjoy kama poko ana cum. Nilikuwa hood yangu juu ya jameson, ubaya ni mkono bado iko kwa sling…

Utapona tu usijali bora next weekend kikiumana usisukumane…game huwa hivo…