Nasikia mtandao wa JF ulikuwa hacked na Serikali.

nilikuwa nasoma page ya JF wikipedia. Wanasema JF ilikuwa hacked na serikali hadi google waliushusha kwenye ranks zao. Kumbe hata pindi zile hatukuwa salama.
Hivi Uongozi haukuwa na wajibu kutujulisha hilo suala?

Huwa najiuliza hili sakata litaishaje, kuna uwezekano wa jamii forum kurudi kweli

Jamii forum,uwezekano wa kurudi ni mdogo sana…

mmh hacked! kwahiyo hao hackerswalikuwa wanatuchora tu!

nyie mmetumwa kutuhadaa humu ili tupoteze iman na viongoz wa jf na forum pendwa, kumwamin mtumwa wa lumumba ni sawa na kucheza tatu mzuka halaf unasubiria droo ya biko, mtapata ma zwazwa.

M

Mkuu Wikipedia Sio source ya kuaminika.

Kama si leo hata siku zijazo…
Mungu atupe afya na uzima

Ni mpumbavu pekee atakayeamini huu ujinga.

Hata CIA wenyewe wanakuwaga hacked sembuse JF. .

Mtapata tabu sana. JF iko ilikuwa salama acheni porojo

Porojo tu hizi

Maneno acheni