Nashangaa!

Hawa wasichana wetu tutawaoa kweli? Mnaringia maboy ambao ni ma hustler ati juu wameshindwa kuwashughulikia financially. As a result, mnatafuta ma sponsors. Kwani hamjui hao pia walianza tu kama sisi lakini walipata watu wa kuwapea psych ya kuhustle more?. Sasa after mmetumiwa vibaya ndio mnaturudia huku.
Ngoja utaona wakianza kutokea tao na bunners za husband material. Hiyo material mimi sitasave ata bob ndo niinunue

Shida iko wapi budah…umerusha lugha vizuri? Had you tasted the nyamo ama hata hukuinusa!?

Lugha isharushwa, nyama ishaliwa…lakini anakutoka juu ya madoh…
Hapo ndo utajua lugha bado haitatosha

wewe tafuta mali harafu utakuwa sponsor baadaye

Long way to go!! hujakuwa village sponsor ii kijiji ata

Unajaza server bure. Ndume ni kukatia, na kama alikutoka huyo ni kunguru

chill bro… behind every unsuccessful man there is also a woman

Eh?!

na nitashinda nasema hizi ni tabia za @Ricky C137 …c138 ama c139 hana hizi shida

kama ushakula anaeza enda. hio ndio main aim for the existence of women. acha sponsor amalizie

kijana tutakuambia mara ngapi kunguru hafugiki

Hata wewe fika uko juu then watakukujia… Otherwise stick to arimis na picha ya GeorginaMakena

Listen kid,
Count yourself lucky that:
1 - It happened when it did (now) and
2 - You haven’t been caught up in (or caught) anything yet - the possibility is higher than you young things think.
3 - You found out! Lots of guys get as far as marrying people they do not know only to find out these shocking “details” 3 children (whose paternity will then be open to debate causing more sadness) later.
4 - You still have both dick and brains (I hope?) work on how both work.
Now get to work on yourself, seek advice where you have to and you’ll be alright - unless you’re the kind that prefers riding on the achievements of others ndio useme “tuli” whereas you were just tagging along as others did the actual work?
You hadn’t even paid dowry or spent real money on her upkeep na unalia hapa…
I say you’re a very lucky man now dry up those eyes and get to work :wink:
I have a kid brother I dote on and more young “jogoo” cousins and nephews than I could enumerate so yes, I should know.