Hana lolote,jamaa kakaaa kinafki nafki tuu
inawezekana kachanganyikiwa, ila ile ndo maana halisi ya uchumia tumbo au kuwaza kwa tumbo
Kuna watu nishaamua kutotilia maanani wasemayo.wa kwenza ni MZILANKENDE na wapili ni NAPE
nikimkumbuka huyu jamaa (nape) na unafiki wake wa kiwango cha lami
ndiyo ananikumbusha yale maneno SIASA NI MCHEZO MCHAFU naona chama tawala cha malaika kinaitendea haki iliyotukuka hiyo slogan
a.ka jiwe hahaha
Tumemsamehe lakini hatuwezi kuacha kumuambia ukweli wake. Yeye ni mnafiki tu na hilo halina mbadala.
[SIZE=6]NAPE ALIPAKA RANGI NYEUSI KWENYE LENZI ZA KAMERA ZA BUNGE, NAPE ALISHIRIKI KUPITISHA SHERIA ZILIZOTUKUTANISHA KENYA TALK ZITTO ALISEMA SHERIA ZINAWAHUSU PIA BLOGGERS NA WAMILIKI WA WEBSITE NAPE AKAKANUSHA, NAPE SASA ANAISOMA NAMBA KAMA MIMI @Sijuti NAPE POLE SANA, HIYO NDO CCM NINAYOIFAHAMU MIMI.[/SIZE]
Daaah mkuu umesema kweli,akipewa position na jiwe,anarudi kufuta kbs kipind cha bunge
Mkuu Allen Kilewella, japo hoja za umalaika na ushetani ni dhana tuu, lakini mwanzo wa shetani alikuwa malaika, kilichomfanya awe shetani ni matendo yake tuu, lakini malaika na shetani are all the same, and the powers are the same, kwa sababu mwanzo wa Mungu ndio huo huo mwanzo wa shetani kwa sababu hapo mwanzo shetani alikuwa ndie malaika Mkuu, the 2nd in command ambaye ana nguvu zote kama za Mungu, ila Mungu Baba ananguvu zaidi ya shetani zikiwemo nguvu za uumbaji, creation, hivyo ni Mungu pekee ndie muumba, God, The Creator, shetani hawezi kuumba wala kutoa uhai, yeye ni the destroyer, kazi yake ni kuangamiza.
Kwa vile shetani mwanzo alikuwa malaika, kilichomfanya awe shetani ni matendo yake, hivyo tofauti ya malaika na shetani ni matendo, ukitenda mema, wewe ni malaika, ukitenda maovu wewe ni shetani. Tena malaika mwenyewe aliyegeuka shani, hayuko peke yake, yuko ma Kundi kubwa la malaika waasi ambao wote bado ni malaika ila ni malaika wa shetani. Hii maana yake, wale malaika wote wanaotenda maovu ni mashetani, wakiwemo malaika waliotumwa kuja kufunga mitandao ya kijamii, kama mitandao hiyo ilikuwa inafanya mema, lakini kama mitandao ya kijamii ilikuwa inafanya maovu, na malaika akatumwa kuifunga, then huyo ni malaika wa Mungu na sio malaika wa shetani.
Jamii Forum ya nyumbani ikitoka kifungoni, tembelea nyuzi hizi ambazo zote nimezungumzia hii dhana ya malaika na shetani.
malaika-akijiunga-na-mashetani-anageuka-shetani-shetani-akijiunga-na-malaika-anageuka-malaika.
nani-hatari-zaidi-kati-ya-malaika-aliyegeuka-shetani-au-shetani-aliyegeuka-malaika.
the-role-of-yuda-eskarioti-kwenye-ukombozi-wa-dunia-je-yuda-alaumiwe-alaaniwe-au-apongezwe?.
chadema-msipuuzie-ushauri-hata-kama-ni-kutoka-kwa-shetani-sometimes-the-devils-does-good-deeds.
zitto-jambazi-wa-jana-hawezi-kuwa-malaika-leo.
Karibu.
Paskali