Msaada wenu tafadhali!
Hivi humu nimeingia Jamiiforums au ni wapi? Nauliza maana hata nikitaka kuedit profile yangu siioni… Nitoeni ushamba wakuu
Unaona hii barabara. Teremka nayo halafu kula left hapo chini. Ukiona mlima bomoa halafu ukishuka piga right. Ulizia hapo kwa gate ya mabati
Kwenye Menu ya forums,shuka chini utaona Jamiiforum inaonekana kama subforum, ingia hapo utaona forum zote za Jamiiforum
Bebi @The Tweet saidia mtu wenyu
Shukrani brother
Ooh bebi ngoja nimpeleke nyumbani.
mkuu utazoea tu wenyewe tuliingia hivyo hivyo ila jamaa hawajajipanga nafikir watajipanga tuendelee kuwapa changamoto sijui kwa nini walikuwa hawatembelei jf
Nyumbani kufanyaje tena
utazoea tuu, hakuna njia…hapa lazima uongee English
wenyu=wenu
wabongo tuko mbele sema kuna mambo fulanifulani madogo yanaturudisha nyuma Ndugu ila tutafika.
kweli mkuu
hii kimbelembele ya kukosoa watu tuachie sisi wakenya
Huku mods masela sio Misri mods ni Marobot
Yaniiii hata mimi nabung’aa bung’aa kwa baadhi ya vitu humu aseeehhh mazoea yana tabuuuu… nishajizoelea jftz jameni…
Pole @Mahondaw wangu… utazoea tuu…
Thanks love ngoja kwanza niisave vizuri kwa memory ya kichwa Ile password make ni ngumu balaa… hadi @ lol nimecheka sana
Nipatieko hiyo password yako nikuwekee kwa kumbukumbu yangu
Hahaha… no one can even dare to guess that password…