Naombeni hifadhi,mm mkimbizi toka JF

@mumu njoo kwa bwana ako amekujaa

Hahahahaa,. Karibu vileja wetu

We mwanamke unakuja huku bila kutoa taarifa yoyote ile.

Hahahahaa sijui kachelewa wapi huyu…

Nilikuwa nakuandalia mazingira jamanii si unajua mambo ya ukimbizini…

Hahahaa alafu unajua kujitetea ww.

:smiley:
:smiley:

ww nakupata kabisa

Hahahaa ni nani mimi??