Jana katika harakati zangu za ulevi nyumbani nikaangusha glass ya tusker juu ya keyboard ya laptop yangu…screen iko poa lakini keyboard ikawa unresponsive…nikaizima na kutoa battery… Sasa sijui nifanye nini kutoka hapo…naomba usaidizi
poole:D:D
hehehe in the meantime buy a traditional keyboard and connect it to the laptop if you have urgent matters to attend to
peleka tu kwa fundi
blow dry the Keyboard
Naogopa kuiwasha i dont do more damage
hii nimeona kwa google wakisema nisijaribu…itafanya even more damage
Fundi reliable hapa kwetu ni muislamu nimetoka kwake saa hii akasema hawezi guza pombe…hawa wengine nimakurutu tu
hehehehe hypocrates
imwagilie tusker ingine ifungue lock
Inbox @snapdragon and thank me later…
Put it in rice
hehehe…
hehehe…
hii lazima iwork
Haha aweke kwa gunia ya basmati rice overnight
kama ni keyboard pekee haifanyi u can take it out without disassembling the whole machine bt it will depend na make na model ya machine yako. (youtube)
in the mean time run OSK command to use onscreen keyboard
eka maji to dilute iyo pombe
Ngoja laptop ikuwe sober kisha rudisha battery na uwashe. Thank me later.
wewe na lapi mlilewa…how comes umeleuka mbele yake?
Try vacuum cleaner ya keyboard, ama save time peleka kwa fundi.
waaa comments, hii lazima iwe jaa ya jan:D:D:D