Nani amekamua hii?

[ATTACH=full]219780[/ATTACH]
Wale wa fote fae na fote four wanajua rada

Kuna watu hawajipendi

Wewe wacha maringo

Hii tumekunyua saaana sana

Try Stolichnaya instead.

Temaste jabaste

Hajui rada. Hatujawai dedi…Sote tutapatana kwa urinals

Hiyo ni usavia ya January, na haina hungdown

aaiiii boss saingine patia mwili heshima zake:D:D:D:D:D

No ugakua njege ino

I thot ktalk ni kwa mbirrioneas pekee

Hio ni drink ya watu wa nduthi na ma conductor wa mat

peasant wako ata pale Monaco,Vegas na Vatican

Hiyo tunaiita mang’a.

Kamzima ni 120/= tu pekee na kanusu 60 pare Fote four Githurai. Bora uhai.