Namna ya kuagiza bidhaa mtandaoni (Online) eBay, Amazon

Mwl Rct wapi mzee

Aisee tume miss huduma yake

Anaendelea kutoa huduma kama kawaida mcheck kwenye no.yake ya whatsApp

Kabaki nyumbani…

Mkuu hautaji kujiunga na forwarding agents?

Fata hatua za wadau juu hapo…utakua unaagiza mwenyew bila kutumia watu watao ku charge pesa kwa jambo unaloweza lifanya mwenyew.

weka izo contact zake

Asan

Asante kwa kumsaidia mwenzetu

Short and clear details, safi sana

Tatizo la Aliexpress / Alibaba usalama wa fedha zako ni mdogo sana. Mzigo usipofika kuipata pesa yako ni ngumu mno tofauti na kutumia paypal. Nishalizwa vijifedha vyangu na hawa jamaa wa aliexpress, wanakwambia pesa imerudi lakini bank haiingii na hata ukicheki bank statement hakuna kitu.

Lakini kwa paypal usalama wa fedha zako ni 90% zinarudi. Mzigo ukichelewa tu nafungua Case fedha inarudi kama ilivyo kwenye account tofauti na aliexpress

Mwl.RCT +255784496856 mcheck whatsApp

Ahsanteni sana kwa michango yenu, ila nimeijaribu KIKUU ipo fresh sana tena haina haja ya kuwa na PAYPAL wala MASTER CARD au VISA, pesa una lipia kupitia HUDUMA za MPESA, TIGO PESa, AIRTEL MONEY na wana mfumo wao wa malipo unaitwa K PAY

Asante hapa nami nimejifunza kitu

Ishu ya usalama wa pesa kuwa mdogo sio kweli,aliexpress una option ya kufungua dispute ndani ya siku 60 kama mzigo wako haujafika.Ukilipa hela wanashika aliexpress mpaka upate mzigo kisha una confirm ndipo supplier anapewa hela.

well explained

Hata mimi natumia aliexpress na mizigo naipat ndani ya siku 26 mpaka 28 lakini pia ajaribu kutafuta cars ya equit bank wako poa sana

Ecobank