NAIROBIANS

Tulisema msije na magari, it’s Saturday na kuna jam, thought we agreed muende Kimilili na Naivasha.
[ATTACH=full]73370[/ATTACH] [ATTACH=full]73371[/ATTACH]
Niko Bondeni with import na sijui ntapata slices saa ngapi.
Wale wako pirates poleni pia

11 Likes

Si unaweza kuanza kujigawia slices kwa jam…?

4 Likes

Car hire haina tint

3 Likes

One of them or both would faint from the heat.

Niaje sonko?

Tunangoja finer details pale Telekram

1 Like

Kuenda Mombasa is the new accessory among women thanks to social media. You just need one friend of your slices, wife or mpango to start posting her pics that she is in Diani, Bamburi etc and all of a sudden your planned trip upcountry is no longer good enough. Tunaenda home, coast tutakuja off season next year when you need me more.

12 Likes

Balaa tupu walai.

Mefika shanzu na kimeumana.
I think mbele yangu huyu ni @jumabekavu
[ATTACH=full]73385[/ATTACH] [ATTACH=full]73386[/ATTACH] [ATTACH=full]73387[/ATTACH]
Hehehe, ovelapper has been turned back.
Wish i have a gun

Hawa macowboys ni bure kapsa. Si wakae kwao. For 11 months in a year they growl how nai is the place to be and if you aint in nai you are nowhere then suddenly december nai imakua kunguni they have to run away from it. @Bingwa Scrotum rudi Muqdisho kwanza elections ni 28th na Hassan Sheikh lazima ashinde, Hawiye tyranny of numbers

5 Likes

Mimi siwezi karibia msa island mpaka mwaka ujao

1 Like

Hiyo si Alto. Hapana tambua Toyota

1 Like

He he he…
The rate at which they’re coming, wanataka tuhamie baharini?

1 Like

Next week ndio twaja bila sasa vizuri. Hii ni childs play

Nilikaa kwa jam from shanzu to mtwapa for a whole hour. The fuack is wrong with nairobi people.

4 Likes

I bet hata kwa beach kuna very large crowds.

1 Like

Sisi huchukua one hour from Nyayo stadium to tao na hatusumbui.

5 Likes

Hatujazoea jam Mombasani.
Ngite wewe

3 Likes

Tulieni tumewaletea mbesha, paka shume wewe. Hata Naivasha tumejaa na @old monk hasumbui

3 Likes

Mwenye anajua pwani ni ya mamake au ni yeye ameunda aje fasta.

1 Like

nyinyi wakaazi Wa Mombasa si mhamie Malindi pia

1 Like