Nairobi Thug Life

Wooi wamejaa everywhere but our v own Kenyans take the trophy as far as I am concerned…yaani wacha tu. It may not just be conning huko kwa streets ni vile wamejua kuunda sob stories pia which you later realise/come to know…were errrrrrrrrrrrrr just that. This now stops some of us from us from giving generously. Siku hizi my purse is zipped…

Sometimes tenda wema nenda zako though some are spoiling for the genuine cases.

One afternoon kitambo kiasi I left office rushing to an urgent call in town. Kufika hapo ATMs za Oil Libya Bellevue hazifanyi.

Approached G4S guy kwa Atm nikamshow anisaidie na 100/= the guy did not hesitate.

Later in the evening nilimpitia na Thao nikamshow very few would do what he did to a total stranger!

mimi najiamini sana…i help people kwa streets when they need me na sijawai gongwa or anything…Any native nairobian would know a con…any.Juzi pale archives nje ya mr. price, there was a blind woman calling out for anyone to help her cross barabara ya tom mboya…all the shagzmod queuing hapo for supermetro buses wanamlenga tu.all the other shagzmodz who sit hapo kando ya sanamu ya tommboya wanamlenga pia.Both groups niko sure hakuna mtu alikuwa na zaidi ya 5gees kwa mfuko…if anything labda ni mamshwari/tala/branch na filuzas

mimi nikipita nikanotice within those few seconds everyone is hesitant to respond.ikabidi niende nimshikilie…tukaenda anikamvukisha…akaniambia anataka kuenda tuskys,tukaenda.kufika kwa mlango ya tuskys,kumbe at anajulikana na guards hapo.she even has her items kept kwa luggage section.akaniambia kutoka hapo nisijali the guards will take care of her.Na hivo ndio mi nikajiendea zangu.

what the owner of this tweet should do is criticize this particular woman…but akigeneralize ni vibaya juu in the few decades i have lived here i know there are genuine cases of needy people or events in dire need of medical attention on the streets

We agreed nairobi unatembea na sura ya kazi. Kupewa na kupeana apana itikia.

People have tried giving me bull stories ati qlikuwa jela industrial area amewachiliwa asubuhi anatafuta fare ya kwenda nyumbani naivasha…priss

Wengine are trying to offer something for free ati all you need is to keep this gift is to scratch here na ukishinda you keep it if not niwapatie pesa…

The problem is that even some of those genuine cases have been overshadowed by the conniving ones who have always gotten a pass out of people’s money using cock and bull stories.

Mimi hutoa based on instincts. Ikiniambia genuine natoa. Ikiniambia not genuine sitoi.

It is true…wenye wamekaa hii city wanajua …:D:D:D…but hua nasaidia tu…ukinicheza ni sawa juu sitajua

True but we men tend to fall for that of an old person ama mtu ako na mtoto…trust your insticncts tu.zikikataa wacha

Hiyo ya watoto I don’t buy easily. Ya wazee I have to cross check your story with very many questions ndo nitoe. Kuna mmoja nkiwa Tuskys downtime nimechill mtu akanikujia but since I was idle decided to cross check his narrative. Time ya cross checking for almost five minutes nliskia ananuka pombe, nkatoa tu mbao and could see his disappointment hate hakusema ahsante. deep down najua alidhani amepita interview nitatoa mia kupanda juu but pwagu amepata pwaguzi.

hapo archives kuna mwenye aliniomba mara mbili with the same story…she needed 200 asubuhi but tena kupita hapo lunch time akaniomba tena mia…nikamwambia “si nilikupea asubuhi” akaaibika akaenda.:D:D

yea…instincts …but ntu mmoja akiwa conned alafu akuje kutuambia ati wamama wote wako na watoto town ata akizarai ni con siuonaon the instincts will have been influenced already

Huyu mwanamke ni mgumu balaa!

Ndio umeoa upo nae ndani ya nyumba daily everyday…itabidi ushinde gym masaa yote!

Maana ukimzingua tu anaweza kuku-RIP!