Na ati mnasemaga mko na shida????!

@ChifuMbitika ati huwa unadanganya watu ati kwenu ni huko kwa milima na hamna barabara? I doubt they look this way. Anyway shukuru Mungu and Merry Christmas.

https://www.youtube.com/watch?v=WUfg1EQn63g

https://www.youtube.com/watch?v=jay2yj-yUAI

Uko sure haukuwa ameenda Siberia?

Mimi?

Labda unani confuse na raiya mwingine. Angalia file tena.

Kwetu no afadhali

Yani uku deepsate wakipelekwa siberia wanarudi within hours?

He was never banned to begin with, the entire post was deleted. Patco is the admin or he/she/it has some close relationship with them.

Unfair banae