Bila uwepo wako humu mi sina raha tafadhari jitokeze basi japo nione maandishi yako tu mimi kwangu ni baraka tosha kabisa.
Nipo nae hapa kitandani
…
He he ndugu yangu ukuje uku unaitwa @Mzigua90 mkuu mzigua yupo jf ya zamani huku kunamchosha sana sababu ya browser
Kuna siku alikuja kumtafuta Dr.Love,sasa sijui ana shida gani!!
Ameshampata hahahah
Jf ya zamani kwani imekubali kukomenti tofauti na Pm?
Ni hukohuko pm
Mkuu nimekuitia anakuja
Mtoto wa kike yule kumtafuta mtoto wa kiume usishtuke sana
Mnaitiana tu ,nami niitie yoyote yule mie sichagui
Hmm!..
Mhhhh…!!
Nimepata mshtuko kidogo
Kweli kabisa humu ndani bila @Mzigua90 sio kabisa, na yeye ndio kafanikisha uwepo wangu humu ndani lakini anatukimbia kimbia…
Asante kiongozi Shunie, mi mzigua90 namwelewa sana ye hajui tu
Hahaha
Kwanini mkuu?
Pm yake amefunga, kila nikibisha hodi siitikiwi
jumatatu shule zinafunguliwa anaandaa topic mpya za kufundisha
Basi tu mkuu… tehteehhh