Mwisho wa mwezi (salo) kenyans & their peculiar habits

Leo ndio utapata karani/clerk wa Mhindi amekuvalia his best suit na ka - receptionist kadame kamekuvalia her best nguo…Siku ka leo pia ndio unaona wale wasee uomba uomba gazeti yako wasome leo watajinunulia gazeti…kwanza watanunua zote…Nation, Standard etc. Kisha unampata kwa bar and mind u ni msee ma changaa changaa 2nd generation alcohol drinker daily …lakini leo he will be seen in a bar shouting his lungs out ATI WEWE JANE(BARMAID) NILISEMA CHAFUA MEZA 10 MINUTES AGO NA BADO UNANGETHIA NGETHIA…HAUJUI TUNAWEZA HAMA HII CLUB NA PIA TU CANCEL HIO NYAMA TUMEWEKESHA.

Leo ndio pia utaona ule mbuyu ambaye who bought a ride with a Loan but never drives it…leo ataitoa juu pesa ya ngata imepatikana…hawa ndio mafala uleta jam za ovyo tao: Ukiingia butcha unapata fala ambaye is only seen once in a while kwa butchery anakamu ana show butcha with confidence…ati weka kiro mbiiri…na usijaribu kuweka mafupa…

Ona mbuzi ingine inaweka picha FB alafu ina andika ati Fully paid & ready 2 get laid…Any ladies interersted please holla!! amepata malikes kama 20 from ladies prolly Gold diggaz
[ATTACH=full]10885[/ATTACH]

thats like 20k the nigga is holding and flossing. well, he loves to live dangerously

5 Likes

A fool and his money…

1 Like

ametoa rent na loan ya ndae (cool car) 20k +30k+50k, he makes 100k

1 Like

it is human to empathise with those who can only afford to get laid once a month, at the end of the month…

kuna biach atakubali kupigwa finger na hizo vidole chafu!!

1 Like

100k sikuizi ni change for a grown ass man. Sijui kunaenda aje.

3 Likes

Mungu anibariki nibonge kama wewe one day

3 Likes

Look at the breakdown up there by @Koolibah the guy can’t eat decent food for the next 30 days and enough booze.

@mayekeke sio mtu hivi hivi,matumizi yake ya siku ni musahara wako wa mwezi mzima

Third ama triple? With all the free time you have online you can be making some pretty coin.

1 Like

enlighten us please…

Transcription,seo articles,academic essays, coding,web design/development, affiliate marketing.choose your fancy.

1 Like

100k manze ni kama loose change depending on responsibilities.

1 Like

On Monday I’ll put up a long thread, hope I wont be warn out by the weekend.pointers hapo juu.

hata mimi sababu ni mwisho wa mwezi nitaenda Juja Capital Center kesho na the gang kuonja hii, saw it on their FB page looks delicious; that will be my peculiar habit

[ATTACH=full]10898[/ATTACH]

2 Likes

Prepare yourself for a wetdream

1 Like

Hahahaha,bring it on.meanwhile a cold tusker will do at a small base pocket friendly.

1 Like

What do you mean? Computer ni ya nini ama una-moderate na phone? Ama you are saying your salary is triple 10k?

Hehehe… I don’t solicit for pussy on social media, hile iko nyumbani imenitosha… I know you’re the village virgin :D:D:D so i’ll tell you a secret to having pussy thrown at you like stones being thrown at a Gor Mahia football match.

Have a nice crib beautifully furnished, dame atavua suruali kwa mlango
[ATTACH=full]10919[/ATTACH]

Dress sharp, viatu kali ni muhimu
[ATTACH=full]10916[/ATTACH]

Drive a nice car, ndio huyo @Mundu Mulosi akiosha gari yangu
[ATTACH=full]10917[/ATTACH]

…and you won’t have to flash money like the fool above to get a chance ya kupimanisha vitovu.

1 Like