Break news.Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwikatsi kata ya Mamire Wilayani Babati nd.Simon Nade Lala kupitia Chadema ameumizwa vibaya kwa Mishale na Mapanga na watu wasiojulikana katika kitongoji cha Waloa akia katika kazi zake kama mwenyekiti na wajumbe wake wa serikali ya kijiji ,hali yake ni mbaya sana,Hospital ya mkoa wa Manyara imetoa rufaa kuletwa KCMC Mkoani Kilimanjaro kwa matibabu zaidi.Nipo KCMC kumpokea na kuangalia hali yake,nakushukuru sana Mh Basil Lema katibu wetu kwa maandalizi ya awali kumpokea na kupata huduma.
Aliyefikisha taifa letu hapo anafahamika wazi lakini kuna watu hawataki kumtambua kuwa no yeye mpaka hapo yatakapo wakumba wao au ndugu zao ndio akili itakubali
[FONT=courier new]Na uzuri ni kwamba hata ’ Adui ’ yako anaweza akawa yumo humo humo CHADEMA ila kwa kujificha basi kikatumika ’ Kichaka ’ cha Chama fulani hivi ’ kuhusishwa ’ moja kwa moja na tukio lote / zima.[/FONT]
Yote yanawezekana lakini mara nyingi maadui wa wanachadema hawamo chadema bali upande wa pili.Viongozi wa chadema wanaoshambuliwa hushambuliwa mchana na wanaowashambulia hujulikana ila huwa hawachukuliwi hatua!
Imefikia kipindi sasa, kuna haja ya kuwa na vikundi kama boko haramu, Isisi, alshababu na Hezbollah. Maana upumbavu huu hauvumiliki, ina Maana Jamii Forum imezuiwa watauawa watu wengi sana. Maana watu watauawa alafu serikali itapiga kimiya na izo blog zilizosajiriwa zitapangiwa vya kupost tuuu mtandaoni, ambavyo ni vya kufurahisha viongozi
Inasikitisha sana kuona hapa JF , washabiki wengi wa siasa ni kweli wako kama nyumbu, wakiletewa habari yoyote , wao kazi yao ni kukurupuka tuu, NA kujiropokea, no basis of their support or comments,
Si tungoje ujue ukweli, jee ni pigo la kisiasa, ujambazi, madeni, Kazini NA mkee wa watu ama ni wivu wa nafasi ya kazi NA mshindani wake ndani ya chama
Ndio maana ni wajibu was serikali kufanya uchunguzi na kuja na majibu sahihi ili kuondoa utata kama huo. Sasa shambulio kama la Mawazo na kuuwawa kwake mchana kweupe na serikali haijachukua hatua yeyote unadhani watu watasema nini? Ona issue ya Lissu, IPO kweli sababu hata moja inayoweza kuitoa serikali kuhusika? Wamekataa wachunguzi huru pia nao hawataki kuchungiza