[ATTACH=full]401326[/ATTACH]
[ATTACH=full]401335[/ATTACH]
Hiyo gari inaitwa Sienta iko na tabia mbaya kuliko kina Probox.Am sure ndio ilichokoza hiyo Subaru
Hii gari na probox zimekaribiwa jina na hawa machokoraa huwa wanazinunua. Toyota should just stop exporting these vehicles to Kenya
Hio bridge!! Usipatane na tatta imebeba mawe ikiteremka hapo ikiwa imekanyangia katikati ya road. Itabidi ujipange.
That area is always deserted,hope waliokolewa.
Barrier ilibebwa na shiny eye ama?
Hii bridge hakuna mtu ako willing kueka guard rails
I know that bridge
Huku ni wapi?