Mwanaume ni Tool box, mwanaume ni kujipanga, just ordered mine niongeze kwa garage yangu. Drill iko na kadhaa ika.
Hii story sockets ina haribika una ita fundi ni upus, sink ina clog unaita plumber, gari una ji fanyia service
[ATTACH=full]141900[/ATTACH] [ATTACH=full]141901[/ATTACH] [ATTACH=full]141902[/ATTACH] [ATTACH=full]141903[/ATTACH]
Iko fiti, how much?
Nikona hii, nilibuy ya moti…
[ATTACH=full]141905[/ATTACH]
Niiice. How much?
Umeffi. I work too hard for me to work even harder to deny someone else their daily bread
game stores ama? Niko na Kama hio pia. Very useful toolbox. But eventually I’ll have to order one serious box Kama ya hio mchamaa.
Na Mbona hasemi bei, ama ako busy kwa google…
There comes a time when your skills are required in some tricky situation…
Yeah, hii ni fiti for the car juu iko portable
Hii ata nki -own sijui vitu mingi ntatumia kwa kufanyia nini… Ata nkiona kitu naeza fungua, Alafu…??
Kufungua si shida, shida ni after numefungua…what do I do… And for that reason… Hii I’ll pass wacha niishi kuwa Jike
True that kuna siku gari imeleta kichwa nikiwa gilgil hakukuwa na mech area, moti ilikuwa inakataaa ku idle it just dies kupigia mech aka nipea hack na sina tools. Ilibidi kutafuta mech from naivasha spent the night hapo gilgil.
Ukipeleka gari garage ni fiti kuongea na mech atleast ukuwe na ka knowledge kiasi, with tools its even better you can tinker when in a fix…
Skills are acquired pole pole…
And I dont mean handling all situations by yourself, but being able to resolve minor issues, hata kejani.
A small toolbox is best suited for you, Kama hio ya @crasher_18 I own a similar one plus another one full of drill bits…
Only 25k
where? Kama ni online rusha link…
Ebay it’s cheaper
[ATTACH=full]141911[/ATTACH]
Hii ulishika na mapinga
ilikuwa 2500, The Game Store ya SA…
Last time niliacha ukibuyiwa chips gwarana na uwes…
Wasito drill ni pesa ngapi?
A man need to know how to do a minor service on his car, an oil and filter change at least .