Mwacha mila ni mtumwa.

Our rich African culture was replaced by the dynamic foreign ones. Umalaya, feminism, selfishness, wealth classes, among other vices frowned upon isolated the culprits from their communities forcing them to settle very far way from their kins due to inability to be compatible.

Huwa nakutana na baadhi yao nikiwa kwenye pilkapilka zangu za utalii. Yaani mtu anapata shida ndogo badala ya kuomba msaada kutoka kwao, first attempt yake ni kwa stranger juu haskizani na watu wa kwao so hawawezi kumsaidia. Hebu fikiria mtu anapelekwa ruracio na 100% strangers ilhali ana wazazi, ndugu, shangazi, wajomba etc.

Utawapata wakiwa wapweke na machungu tele popote walipo hasa baada ya umri wao kusonga mbele. Let’s practice and teach our kids some of our African cultures.

Mkipunguza ukabila maybe,just maybe ya’ll have a collective mind to move foreward mentally ,technically and economically,but kwa sasa…

Tukiondoa ukabila something else will take it’s place sisi kama humans…
What we need is an external enemy to galvanise us eg alshabaab…
America had perfected the art lakini siku hizi wamezembea

Negroes said african culture is backward and primitive… mtoto akililia wembe , mpe

[ATTACH=full]469577[/ATTACH]