Mvumbuzi wa kipimo cha DNA apongezwe? Amevunja ndoa nyingi.

Sasa kama serikali kuu inakusanya mpaka mapato ya kijiji ili kodi ionekane ni kubwa unategemea nini?

Hapo kwenye ukusanyaji wa mapato ndio usiseme kabisaa! Serikali kuu ikishakusanya kodi mpaka zile za nyumba za vijijini wanasema wao ndio wanajua vipaumbele vya wananchi kwa hiyo watarudisha pesa kwa miradi wanyoona wao inafaa kama kweli hua wanarudisha. Sasa mimi nikisikia serikali za mitaa zinawekewa shinikizo zibuni mbinu za kuongeza wigo wa kupata vyanzo vipya vya kukusanya mapato nahisi moyo unaacha mapigo, maana kwa tafsiri nyepesi ni kwamba ziendelee ku explore njia za kuwakamua wananchi wake, na kila chanzo kitakapokua kinatoa mapato makubwa kitachukuliwa tena na serikali kuu!!!

Mkurugenzi wa wilaya anaambiwa gari na mafuta anayotumia lazima yaonyeshe faida serikali kuu

Naona wote hao wamekua maaskari yaani ni mwendo wa amri tu, ‘Kamata, weka ndani, funga, fungia, zuia, fukuza, nyang’anya, choma moto vifaa vyao kama nyavu za kuvulia’ !!! Slowly heading towards a Police State! May Almight God forbid

Usimlaani,ametusaidia kujua ukweli wa watoto,mlizidi kutuchomekea na sasa mwisho umefika.