Jirani amejua hajui
[ATTACH=full]160474[/ATTACH]
io imequalify kuwa quarry direct…Shimo ni ya choo ama??
Maji ya mjei hatanunua
mvua iendelee ,weru zimeshoot niaje.
Septic tank. The fundi is planning to race against time, am ni against mvua
Niliposoma heading I thought someone hakua amenunua mbegu:D:D:D:D,win win situation hivo gashwin amenena.
Hii area watu hawanunui. But one has to be chap chap, mafundi tell you anaongeza mtu mmoja wa kuchota maji @500/= daily
Afadhali you postpone works hadi kukauke,construction wakati wa mvua huwa costly
Wacha kumcheka jirani yako
Water pump
Kweli kabisa. Kamvua kakianza kidogo wanawacha kazi. You end up paying a whole day’s dues while actual hours worked could even be 4 or 5