Music system ya Moti

Just a quick question, wapi in Nairobi naweza fungiwa ngoma poa kwa gari and whats the possible estimate cost for the whole package considering moti still has the original car stereo from Japan. I know majority of millionaires here have some serious sounds kwa moti zao. Asking for a friend.

Nunua payoneer car sterio hapo luthuli. yenye inaplay dvd bluetooth plus touch screen ni kama 25k but cheaper ones exists. then fungiwa hapo ngara na fundi wa sound za ma3 at 1000.

enda brooklyne sounds hapo buruburu

Enda Ngara, Nyayo market utapata ndifu, music system yenye unataka n accessories (used or new) at good prices. ama ka unajiamini enda Parkroad, Paksounds

ngara opp jamu high school the best

Soundcheck Audio Buru Buru. Ilinicost 60 K…hio sound system ni pussy magnet.[ATTACH=full]48186[/ATTACH] [ATTACH=full]48185[/ATTACH]

Hapana tambua aftermarket sound systems.Peasants!!!

A sound system will drown the V8 growl.
Hehehe…

Used to have two woofers in the nze…the damage they did to my car was well worth the pussy I got in return.
Enjoy it now before you settle down
Nowadays average cost is about 60k

oya! buda…skia.
niko na solar panel moja ya ISS.
sema bei nikutupie morio

Mujamaa kwani unachapa waks KCB. Nimeona lanyard ya blue hapo kama ya yule manzi wa kencom house.

ION kuna base pia pale Nairobi west inajiita Mac sound. Pitia hapo uskie vijana wanadai aje

Vile Umestuliwa Tembea Ngara na Parki

enda Luthuli ununue all the electronics like speakers, amplifier and equalizer. Then buy cabinet hapo Ngara. Tafuta msee wa sound akufanyie wiring. Utasave 10K plus ukijibuyia vitu

Any specific shop u can recommend hapo Luthuli?I fear kununua imboo na zimejaa hapo Luthuli…

Fixed

Nope hio ni cheque book ya Kcb tu…mimi ni mtu wa masafa monday-friday. I spend my week driving thru Nyanza and western na Nrb weekend so hewa ni lazima. Hio suitcase imeishi Kwa hii boot kama wardrobe yangu

Enda pak sounds ngara. Watakuuzia Complete system that fits your budget at wholesale prices, wakupatie fundi for fitting at reasonable prices. Na haziko e very expensive, Ata 20k utapata.

APA wamekupatia cover at what percent?

i’ve done my own wiring kwa gari. just waiting for the radio to come in from majuu :slight_smile:

i’m not putting ile loud. radio tu na eq ya boschmann and a 10" woofer (hoover kama wewe ni mkamba). no amplifer na sitaki.

i’ll bring pics when it’s done.

lakini naskia ngara si mbaya na pia kichimbi hapo umo/buru.

Buda hawa wa Buru ni very expensive, enda hapo Electronic hse iko Luthuli avenue… Radio chagua Pioneer, Amp Pioneer kama ya 1,200 amp, Equalizer Boschman ,Twitter Pioneer, Woofer Pioneer na pia ma mid pioneer. Alafu piga hii number 0727914582 (Kamah) ako Ngara hapo nyuma ya equity. Utasave sana