Musalia Mwenesi was earning 400k at the age of 22

Musalia Mwenesi was earning Kshs 400,000 at the age of 22 working as a DJ.

He tells his story of drugs, depression and a quick engagement to a woman he had only known for 2 weeks:

https://www.youtube.com/watch?v=qWoSvHTEG2w

Alafu??? Leta story yote hapa

Hauna bundles za kuingia Youtube?

Niliwaambia hii kazi yetu ina pesa, mukakataa.

Endeleeni kuvaa suti na tie na kutudharau, na hamuna kakitu kama mimi:D:D:D

hii tuliona zama za kale …

If you have to tell people how much you earn, you don’t earn that much

Word… No sane man says how much he earns.

Noma

Huyo ni mtoi wa Steve Mwenesi?

Pesa gani na the last time nikukupata nyama villa ulikuwa unaomba konyagi

Don’t beat a broda when he’s down … khasia

Ksh 400,000.00 , per ?

Watu wako nayo huwa hawasemi.

Hii ni mitoto ya MA DVD so inakubalika, with right connections anaeza DJ place za nguvu.

Hehehe. Nimejiuliza mbona Major Prophet amepost hii.

Halafu ukapata jibu gani?

Yearly, i guess

i worked with this guy. he’s very professional and drives a sweeeeeeeeeeeeeet black disco tdv6.