“Onapiga gwasasi???”

Unaniua nani?
Na ni yeye Ako juu ya mulefi.
It’s what they do. Mwanamke atakupiga akipiga nduru claiming you are killing her saa hio anakumaliza.
Lakini I love how she stood on business mzee akiwa back up.
Gwanagwake kama wote wako hivyo tu.

Are you from Kimbu smh
that’s the only place they are capable of such or Kirinyaga
Wapi huko wanawake wanapiga wanaume?
Huku wamatha wataki uchinga
Hii tuliona kabla georgina makena apite menopause
huyu ni @Eng_iti
"Mwanamke atakupiga akipiga nduru claiming you are killing her saa hio anakumaliza"
Elder mbona umetuficha hekaya.. umekuwa @nyadist alishikwa ma bareh za shingo na ex wake akachorea mambo ya relationship.
To him marriage = suffering.
Nyadist hebu onyesha elders zile alama za meno kwa mgongo… na ile picha ya xray ya mapua.
Uliteseka sana kaka.