Mtandao Maarufu wa JamiiForums wafungiwa kwa siku 90 nchini Tanzania

Friends, on September 6, 2025, Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) issued a 90 days ban to our services in Tanzania. Given that JamiiForums have a license to operate in Tanzania from TCRA, we did not want to run afoul of any regulatory requirements, hence JamiiForums platform will not be available in Tanzania for 90 days. We are saddened by this, but have no practical alternative. Thank you for using our services


Ndugu, mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha huduma zetu nchini Tanzania kwa kipindi cha siku 90. Kwa kuwa JamiiForums ina leseni ya kufanya shughuli zake Tanzania kutoka TCRA, hatukutaka kuvunja masharti yoyote ya udhibiti; kwa hivyo, jukwaa la JamiiForums halitapatikana Tanzania kwa siku 90 zijazo. Tumehuzunishwa na hali hii, lakini hatuna mbadala wa hatua za kuchukua. Asante kwa kutumia huduma zetu.

Leta nudes za suluhu

Tumewaletea mbadala wa JamiiForums huu hapa
JamiiTalk

Huu mtandao wako wa Jamii talk naona zaidi ya nusu za post ni zako mwenyewe. Ni nadra kuwapata members wa JF kwako, maana tayari jf imeteka nyoyo za members wake.

Post za nyuma ndo lizikuwa ni mchanganyiko ila watu wengi hawapo active ndo nataka iwe mbadala kwa kipindi hiki

tanzania is the last bastion of true communism. Fortunately or unfortunately, they have done such a terrible job at implementing communism no one even dreams of being communist. Not one of their neighbours