Kutokana na kukosekana hewani kwa jukwaa huru la habari Tanzania JF(jamii forum),sasa kumeibuka vikundi vya watu wakihangaika kuunda eti vijukwaa mbadala wa jf!!nimewacheck na kuwatazama nikasemaaa hiiiii!!kazi ipo!!kuna mtandao mmoja mashariti yake daaa mala ni marukuku kuzungumzia siasa za kichochezi!!!,lazima utumie jina lako halisi na namba yako ya simu iwepo!!kuwazungumzia viongozi ,wa dini na serikali ni marufuku!!!PM ni marufuku!!Hivi wanadhani kuwa umaarufu wa jf ,umekuja hivi hivi tu??na kuwa viongozi wa jf kushindwa kwendana na matakwa ya tcra ,ni uzembe,ujinga?bali ni ukomavu wa kuelewa ni misingi ipi imeifanya jf kuwa hapo,.na hayo majukwaa yamekaa kimitego mitego sana,kuna mmoja nilijiunga mala siku mbili tu mtu anakuja pm nitumie namba yako kuna inshu tuongee!!nimempa za uso ndani ya nusu saa nikala BAN!!KWa mazingira ya tz kwa sasa mbadala wa jf haiwezi tokea acha tuendelee na huku tulipo.BORA KULA TEMBELE KWENYE UHURU KULIKO PILAU LA KWENYE MASHAKA!!!
Sawasawa.
Hivi Mwanahalisi Forums ipo? maana toka nilivyojoin wakati inaanza sikuwahi hata kuingia ilikuwa haina mvuto kabisa ile forums , sijuagi walikosea wapi wale jamaa mpaka forum inadoda kiasi kile.
Hayo majukwaa yao yamedoda ile mbaya hata wao wanaona uvivu kuchangia. Wanasema ni marufuku kuwataha viongozi wa dini na kisiasa; lakini lengo lao ni viongozi wa kisiasa wasitajwe hususani jiwe. Sasa hivi wamejua tumehamia huku kwenye uhuru wa kweli wamechukia kishenzi. Na watu wanazidi kumiminika. Acha wabaki na maforum yake yajae buibui na popo. Hakuna kitu kigumu kama kulazimisha kupendwa na kuogopwa.
Hii ni baada ya kukamilisha taratibu zote zinazohitajika za kupata leseni ya kurusha taarifa zake mitandaoni.
Kufuatia hatua hiyo kubwa, uongozi wa kampuni ya Hali Halisi Pubilishers Limited (HHPL), unaomiliki mtandao huo pamoja na ule wa MwanaHALISI Forum, unaahidi kuendelea kuwaletea wasomaji wake taarifa sahihi na za kweli.
Aidha, kufuatia kuvuka katika tundu hilo, tunatarajia kujiimarisha zaidi kwa kuongeza uzalishaji, ikiwamo kuripoti matukio mbalimbali kwa haraka na kwa usahihi.
Tunawatakia usomaji mwema.
Robert Katula,
HAPO KUNA NINI
Kabla ya kupata hifadhi huku uhamishoni waanzilishi wa hizo forums mpya walijua watateka soko la JF lakini mambo yameenda kinyume na matarajio. Hakika kupanga ni kuchagua.
Hakuna forum itakayofanya vizuri zaidi ya the late JF
Way back, nilijipata uvivu sana kujoin hapa. Ujio wenu umenipa hamasa kuenselea Kujumuika na Jukwaa letu pendwa!!
"Fuga Mbuzi, Mende, kondoo na wale Ngombe, Kumfuga mtu Huru kifikra namwenye Utashi wake ni “HAIWEZEKANI”.
Wasije wakalogwa wakaingia na ID Za Jf Hata Kama wameiba za wale celebrity utakamatwa kwa kosa la Mtu mwingine…be careful
Sawasawa mkuu
Ile mwanahalisi si ni ya Kubenea,? Sijawahi kumwamini yule jamaa.
Kumbe tupo wengi, ni ya huyo huyo jamaa.
Huyu jamaa nami sijui kwanini sijawahi kumuamini.
Jf hata ikibaki huku huku sio mbaya,binafsi mwanzoni ilikuwa inaniwia ngumu sana but kadri siku zinavyokwenda naanza kuielewa
Kwanza forums kama hizo za nini?
Hata humu Kenyatalk ni kua makini sana na pm… ukitumiwa pm huielewi elewi kheri uichunie, ukiona inakusumbua sana block/ingore kabisa…
Cc: @Mahondaw
Watajua sana na forums zao
Waambie tu tupo ukimbizn
Na tumepapenda
Ok ok
kumbe muheshimiwa wewe ndo ulikutana nalo KULE.BONGOFORUMS.
Good advice. Noted.
Majamaa yamatumia hovyo Akili zao. JF ni chata kubwa! Haikuibuka tu!
JamiiForums itabaki kuwa JamiiForums…
[FONT=courier new]Bora umewaambia mapema kwani kuna Watu wanadhani hizi ’ Brand / Celeb ID’s ’ za akina GENTAMYCINE na wengineo wa kule JamiiForums ni za ’ sport sport ’ hivyo wataingia ’ mkenge ’ na kutaka kuzitumia huko kumbe ndiyo wanakaribisha rasmi ’ Miili ’ yao kusubiriwa Kuokotwa katika Fukwe za Bahari ya Hindi au Mto Ruvu au Ununio mkabala na Mahaba Beach. Shauri zao![/FONT]