[MEDIA=twitter]1008099644356939778[/MEDIA]
Malaika Wa shetan wameshuka rasmi
Mamaeeeeeee zakooooo
Hawa jamaaa ni full upumbavu.
Shithole
Sasa hapo alikuwa anakanusha ama alikuwa anaboresha msimamo wao!?
Hahahaaa
Anatuabisha wahandisi mpumbavu huyo
Katumwa tu huyo hana namna
Mwanakijiji mwenzangu mbona wanitukana?
ngoja tusubiri muda ndo utaongea
Mhandisi ajue kuwa nimemtukana matusi yote ya nguoni kimya kimya
Huyo Engineer Mihayo mwache aendelee kuchumia tumbo asije kupiga mihayo akienda kinyume na KIPARA NGOTO JIWE.