@Msa Ktalkers

Tudor,Tudor 4,Tudor Noorah,Kiziwi,Buxton, Kaa Chonjo,Makupa hakuna stima. Guraya,Mwembe Tayari,Majengo,Sparki hakuna stima.

Where you are kuna stima?

cc @Meria Mata @bjurmann @MISCHIEF

Stima mingi Bamburi.
Kuja samba.

1 Like

At the moment siko coast…Coast nasija weekend na mm ni mtu wa Kilifi:)

2 Likes

Na ya Mombasani wayaongelea aje Miss Chief? :D:D:D

Hata zimerudi…

1 Like

Hehe…napata kila habari huku niliko

1 Like

Mshumaa

zimekuja…border ya tudor na kiziwi!

1 Like

Hehehehhee…iko wapi hiyo border?

karibu na rounda ya kiziwi. By the way, do you know no other round about has so many roads like that one

vok stima iko

Mombasa shida tupu.

@MISCHIEF kumbe ww ni jirani…ukija pitia Kavenya upewe shupa tatu mblo

Kavenya:rolleyes: apo sijapata poa tutaongea lakin

Niko Sparki…stima miiiiingi hadi zamwagika

Mbona mlifunga makuli fagia?

1 Like

swaaafi

1 Like

sijaku elewa

Kulikua na bar moja hapo spaki na hilo jana.
Twas very famous

Maybe ilifungwa kitambo…sijawahi isikia

1 Like