Mr. Bean's Car Collection

Obsession ya hawa rich farts huwa nini…msee ako na gari more than 50 kwa garage. Yeah mtaanza umatako ati ni car collection hobby but wtf for real? Magari zinaozea tu kwa garage ndio nugu iziangaliange tu inafurahisha macho. Thats bullshit in my books

2 Likes

Nikiwa mtoi niliambiwa huyu jamaa ni electrician lakini kumbe ako na Masters of electrical engineering

3 Likes

Anakuwanga kigugumizi…i remember u was a kid in lower primary skul in a public school…the school arranged a movie show msee wa local video hall akaleta mchines kwa one of the classes then mnalipa ngovo kuingia…hapo ndio nilionea Mr Bean at first…sikuwa ndani ya hall…nilikuwa nachungulia kwa mwanya…ngovo ingetoka wapi?

2 Likes

Nigga has a taste for fine things

1 Like

Hizo magari huwa zina appreciate in value. Kuna drummer flani aliendanga top gear akaambiwa zimefika ÂŁ300m
Hata hakuwa anajua

1 Like

Collectors are happy people