Movie

msupa wa wenyewe anataka nimpeleke movie date, Fast 7 to be precise, nimemsho kama anataka hivyo arauke twende ile ya 7:00AM sababu nitakuwa job @ 10:00AM, Amekubali lakini hajui vile amenisaidia, hiyo expense nime cut short mbaya

Imax ama?

Mpeleke a watch “Shawn the sheep the movie” badala ya Fast and Furious.

broke ass nigga…kuma sio bure boss

hahahahhahaha… mpeleke ya saa sita usiku… way cheaper

ama unampeleka ile ya ‘watoto kaeni chini’

asubuhi si inabore niaje?

kuna watu huamka asubuhi kuwatch movie??? must be living my life the wrong way

1 Like

HII STORY UNGEAMSHA KICHWAKIBOV AWEKE MPAHO HATA MTOI WANGU HAJAWAI NIAMBIA UFALA KAMA HI

heshima prizz