ati huyu mca ameambia MP wanyonyi wa westland atatembea,huyo mkisii hajambia huyo mluyha poa
In other news:Hujafika ama umerudi?
some things you don’t take seriously, unasema “hayo ni maombi” and roll on. mwanamme akilialia ati ametukaniwa kwa siasa ni kama kusema billboard ilikuwa na mpango wa kuniuwa…
1 Like
bado napanga virago zangu,kuenda naenda.NO RETREAT NO SURRENDER
1 Like
Wabutchery, weka picha ukipanga virago au hiyo ni paukwa pakawa.
1 Like
Halakisha mujamaa unangojeo na @Village elder kwa gate
Hii Kwenda yako ni ya vita. You can’t just walk away quietly?
siendi,mta do?
He he he!
wewe na siasa -_-
for the politicians its always a game, a joke; but for the supporters its a matter of life and death