Motion Sensitive Security Lights

Hi Wanakijiji. A friend is interested in motion sensing security lights. He prefers solar powered and sensitive to a meter. Anataka kama tano. Nipatieni ideas, mimi hizi mambo sijui. He believes I know everything tech. Najua sijui.

Nyamakima atasaidika sana.

Asande ndugu. Niko mbali kidogo. Si uniangalilie kama wako na online shop? Mimi naonaga wanauza mboco tuu.

@amun ni @Mjuaji Wa kila kitu from tech to engines to trucks to singo mathas.

Shots have been fired…

Niko mbali but hapa ziko very cheap

acha uchochezi

Kama ako na patience mwambie aangalie on online shops kama aliexpress, na asiende for the cheapest vendors

Ni hoho?

Ziko jumia 2k ya solar