Morning Talkers

Naeza pata wapi ugali na kuku kienyeji hapa city Centre sahuu? Maswali badae.

Boss… Si mtu hukunywa supu kwanza, hata kama ni supu ya kichwa ya kuku ya kienyeji

eish saa hii ukipata wamepika utakua na bahati from arnd 11 AM highlands restaurant Corner house hata supu kupata saa hii ni ngumu bwana

panda mbukinya anko ujipate kwenyu in no time ukule ugali na kuku zote unazotaka

Makes me miss those days I used to ugali kuku kwa Shikuku ndani ya soko Mumias. Saa kumi na mbili asubuhi kuku imeiva.

1 Like

Enda cianda market mzae.Hii ni hangover heheheh ama ulikuwa night shift ya team mafisi.

1 Like

a little bit of both.

Sahi labda kuku chipo

Enda pale kwa Njeri grogon, utapata not sure kama ugali itakuwa imeiva poa

1 Like

Ronalo wameamka

Tao ndani ni gumu kupata na ukipata haita kuwa fresh. Go to Masari road those city council kiosks on the left just before parklands rd, you’ll get kienyeji fresh and ugali there

lazima nitatafuta hapo kwa shikuku ili niwachane na ugali mlima

Enda hapo Uchumi,uchumi house kunywa bone soup,inasaidia

Uliza tu unataka kula kuku kwa Shikuku.

unataka jamaa asimamishie gari kinungi ndiyo a-puke?

leo leo tu nitaulizia hapo

Nunua kuku uchinje, uchome kwa jiko kisha ujipikie omwami. Home cooked kienyeji tastes better.

[ATTACH=full]8573[/ATTACH] You should get some mbuzi ulaya or kitimait