Mombasani this morning

vehicle found without tyres behind Aga Khan Academy road this morning.
[ATTACH=full]30442[/ATTACH] [ATTACH=full]30443[/ATTACH]

Vuja de amekuwa missing kwa kijiji sana.

7 Likes

Ni gari ya Fred Flinstone wa huko, Freddie Mamawe.

6 Likes

:D:D:D:D… hii sio wizi!!! could be a warning or revenge

Wooi pole

@vuja de pesa za valentines lazima zitafutwe Mueni hakunywi Stoney na mkate pekee

#kataaHiyo

7 Likes

@ in other news…the super coach that converted @kush yule mnono from Kawasaki has been found
https://z-1-scontent.xx.fbcdn.net/hphotos-xtp1/v/t1.0-9/12688221_10153615129254580_4742144212551865448_n.jpg?oh=59b942fac7eac18fa52e6583593f8f4e&oe=573C1691

7 Likes

Hehehe…kuna msee najua alifanyiwa hivyo a few years back. Msee anatoka kwa MWK at 2am anapata gari imeketi chini kwa kifua, front tyres gone.

4 Likes

:D:D:D

Pia kuna mkamba mwingine amekuwa missing sana
[SIZE=1]na sijataja @kingolonde [/SIZE]

3 Likes

How do they do this?

Mnaonea wakamba sana
:D:D:D

ndio najiuliza, kwani hizo lamps hazina soko?

1 Like

Mkamba anajua tu kuuza tyres Peke yake, Ata radio hakubeba

2 Likes

there are so many gadgets that cost a pretty penny than rims and tyres…unless hizo rims zilikuwa za maana sana

… hizo mounting za side mirror, wipers, starter, pump za maji ya wiper,…radio…etc

Huyu pengine alichukua deni ya mtu ka thao fifty, alafu akaanza kulipa rwabe, mara thao moja na fifte…

Afadhali kuibiwa miguu kuliko kuchomewa gari kama ule msee wetu wa rongai

:D:D:D:D:D:D:D:D:D. Senzi!

1 Like

Ulimaliza kuuza diesel?

2 Likes

The set up for sure is a revenge mission.

bado na hustle.