Mombasani Things

only in mombasa
[ATTACH=full]7755[/ATTACH]
[ATTACH=full]7756[/ATTACH]

What the fuck did this nigga smoke

1 Like

Looks like two diff cars. Ona position…then kwa post ya stima the last kuna maua first hakuna…etc… Can smell a rat here

change your dealer, amekupa vitu expired

Kuzidisha the last pic hapo huyo mzae ako kwa ka gate kuna post ya stima wire zimeenda na huko mbele bt the first ni empty … ?

Gate unaiona wapi hapa?!!! kujia vitu fresh Mombasa, achana na za kisii

huyo driver alikuwa anataka ku take off

Enyewe hii ni potosop… There is one solid wall in the first pic but it appears the walls are separate in the second pic.
Secondly, hio post ya stima appears to be very close to the wall in the second pic but far away in the fist one… but that can be as a result of the camera angle…lakini the space between the walls in the second pic is the giveaway… hii ni potosop!

Next time in Mombasa kuja Links road. @paparazzi kuja saidia hii watu

1 Like

Kwani yeye pia alikuwa anataka kuenda space kama mwengine najua

achana nao…achana nao kama hawaamini…ivsaw the car last sunday and i must say i couldnt believe it…

Endelea kusmell rats. Hio akili mingi uko nayo ndio maana you will remain mwananchi wa kawaida

@Meria Mata explain what happened. Ni UFO ama? Tuambie.

somethings you just cant explain, this was on links road just a few meters from where the matatu drivers disappeared

1 Like

Black magic labda. Hata professors hawawezi explain.

hapa mombasani hua twasema Mazingaombwe whatever that means. Labda @Supu don aelezee

1 Like

The flowers are a dead give away. Ata kama ni angle ya picha, they can’t just be there in one pic and totally missing in another.

@Meria Mata ni true elder haezi tupima
Hao wenye kusema photoshop ni mashoga who trust their anus so much that they can swallow a whole coconut.

dont blame photoshop blame the camera.same picture

1 Like

M2 hapa umetubeba kama wanabara hasili,mboto duka.