MOMBASA

For someone moving to coast where can I find good houses ranging 10-15k ya Bachelors ivi. Seems might be posted for a Job in Mombasa.

Likoni keja ni cheap but usijaribu kwenda uko. Stress ya ferry morning na jioni will kill u.
Kama job ni within the island tafuta area ya ganjoni, makupa, ama bakstani huwezi kosa but make sure Kuna supply ya maji, ukikosa jaribu kizingo area ama enda nyali - mkomani a bit civilized.
Kisauni Kuna Shida ya wakali wenza
That’s my take

They’ve condemned you to death.Sending to Msa is the end of you

Tapeli watu uishi Kizingo na fellow ktalk birrionaires

Kizingo na 10 k in one sentence? Isokei.

Haha Ghaseeer Job Promotion can wait to get of this shithole Nairobi

Msa is just another shithole to be honest, not any different from Nairobi. Na maji shida, chakula expe etc.

Doesnt matter mm Bachelor bwana so in terms of expenses hio na nyonga kuliko Monkey

Saw a beautiful house…I bedroom…13k… I think bado iko

Angalia bamburi.

Uchumi ya coast iko mbaya zaidi… Naongea venye kwa ground mambo iko

If you look around kisauni and bamburi kiembeni and utange huawezi kosa 1 bedroom at that price range for modern new houses which will fetch high prices in areas around town

why?

Yeah, as the saying goes kuingia harusi, kutoka matanga.
Jaribu sana utoke huko haraka

What’s the problem in Msa?

I really don’t know tbh…but I have relatives that have gone there to work and their lives just waste away

With a stable job,mombasa is the best place to live ,budget of 15k its a 2 bedroom house around changamwe area.

Huyo ni jamaa wa raha na malanye…the boss just gave him his own dose to self destruct

:D:D

Na mtwapa is the perfect place to self destruct.

What happened to them? Did they get caught up in drugs and the high life.