MOHA GRAFIX: NISSAN NOTE full respray

1 Like

Hufai ku paint kila kitu same day. Let the primer base dry first

1 Like

:grin:

The magic of video editing.

Moha nilikuwa nampata garage.. kazi yake huwa safsana

Kuna jaruo hunifanyia painting nikiguzwa na maghseer kwa rd…Jathe huwa magwiji sana kwa body work. Wanasondeka poa sana

1 Like

“professionals” wanasimama juu ya ndoo kufikia roof