Mods tuandalieni jukwaa la watu mashuhuri..

Sambamba na mada tajwa hapo juu…
Ni maoni yangu kuwa yatafanyiwa kazi…
Wale watu wa ubuyu ubuyu na mapovu twataka tuyaone huku…

Litafanyiwa kazi mkuu.

Kuishi bila JF ni jela, hakika ni jela…
Yaani mtu hujisikii furaha bila kumuona, Shunie, Miss Natafuta, Asprin, @Mzigua90 na wengineo bila kujali hamjuani hata kwa sura…

“This is it”

Aspirin taarifa ishamfikia… Hawa wengine nao nadhani watakuja tu

Watuwekee na jukwaa la wakubwa.

Watupe variety tulizokuwa tunazipata Jf maana popote maisha tuaweka kambi huku mpaka kieleweke.