Salaam!.
Mods wa Kenya talk mnakazi kubwa yakufanya ili kuendana na kasi yetu Watanzanzania.
Kuna vitu vingi wadau wamejaribu kutoa maoni yao ili either viongezwe au vifanyiwe modification yote no katika kuongeza ufanisi na mvuto zaidi, na hii inatokana na uzoefu wa Jf yetu ile iliyopigwa bann pale home Tz.
Kiukweli nilishazoea na napenda sana ninapoanzisha Uzi wangu nipate kujua watu wanganpi wame View, na napendaga Uzi wangu uanzie 1k views, huwa napata hamasa yakuandika vitu vizuri zaidi vyakufanya wadau wasome.
Mfano wakuu wengine wameomba ianzishwe App ya Kenya talk, baadhi ya Emoji zibadilishwe au ziongezwe nyingine, na maoni mengine mengii.
Tunaomba maoni yote yafanyiwe kazi.