Modern day employment is slavery

@Yuletapeli never ever joke with someone livelihood.
Inaelekea saa saba na nimechoka kama malaya za Airport and yet nothing substantial nimefanya leo.
Tuanze niliingia site few minutes past 8am nikafika nikapata cheques zimewekwa kwa desk yangu. Hio ni kumaanisha nitembee almost 2km nipelekee kwa bank then nirudi.
But before nitoke lazma nichukue flask ya chai ya Friday na vikombe chafu nipelekee kitchen ziwe safi.
Haidhuru utamu wa kazi ni mshahara. Kufika kwa kitchen nikapata dem baddie Gen Z akanishow sifai kufanyishwa kazi kama hizi watafute dem ya kazi.
Hii saa yote wengine hawajakuja. Nikaenda mos mos mpaka benki nikarudi but before nikae chini mdosi amenituma niende kwa gari yake nibebe beans gunia nusu niletee kwa ofisi.
Hio saa nimevaa sharp shooters na official. Nikainua nikaweka mgongoni nikapanda stairs hadi kwa ofisi.
Hio saa nimeanza kunuka jasho dem akiingia kwa ofisi nikufungua dirisha.
Nimepata chance napumua naingia tinder tagged one night naona tu madem.
Kiasi nasikia Mkuria chai iko… Niletee na Mandazi moja.
Hio saa penye chai iko its literally karibu na yeye. Fala nachukua serveitte nafunga mandazi na kumpa mandazi then naserve chai.
Mtu anaulizwa file unasikia tu Mkuria tafuta file ya… Upatie …
Cmon yeye ameambiwa mbona anaona anitume. Kiasi nimeprint hii document mkuria turn iprint back to back.
Sijamaliza kuprocess kijana shika hii scan kwa emails zangu then ufile kwa hii file.
Kwani haujui kuscan document ni landscape mbona umescan potrait ebu rudia.
Kiasi simu imelia ebu enda ambia nani achukue simu zangu nimpigie hashiki kwani ako wapi.
The phone is on his desk but amedissappear.
Napata few minutes kuvumilia naona message kwa whatsapp handwritten with instructions type this within 5minutes and bring it to my desk asap.
Another message bring my laptop charger i am in a meeting. Stop being slow. Yaani power kidogo imeingia mtu mpaka anajiona god na mimi gumegume.
Purchases zinakuja unaambiwa receive them confirm then ulete mimi nitasign tu.
Ukiangalia purchases Oraimo powerbank, oraimo wireless mouse laptop stand. Laptop battery.
Yaani wanajifikiria tu na kununua useless stuff.
Any work ya ujinga ikitokea unapewa but sasa real job wanafanya and unakuwa sidelined. No communication utareceive.
Inafika lunch time unaenda kwa githeri ya 60 niggas zinaingia kwa magari wanaenda kula nguruwe na kuku. Later on unapata inakucall unadhani utaulizwa wakuletee mabaki.
Kumbe inakuambia ingia kwa ofisi yangu upee nani hii na hii. Ukijaribu kusema uko lunch unasikia nakupea 5mins ukue kwa ofisi.
It will go that way mpaka 5pm. Mwingine ako na audacity kunipea orders 5.30pm
End month jamaa anapigwa 200k plus wewe unapigwa 20k.
In life omba tu Mungu usikue maskini kama @EL_CUCUY juu unadharauliwa na kila mtu ata maskini mwenzako
Nasikia nimechoka nangoja nipate pesa nichukua Spiro nirudi maraundi.

2 Likes

Wachana na hio kazi ya upuzi. By the way degree yako ni ya nini hasa, ulifanya course gani. Ama ni procurement?

Ubaya tena ni hii kazi wanapatia mtu pesa kidogo ya kusurvive they might keep someone for long but looking back ndio amekuwa busy but with nothing to show.
The said managers some of them hakuna kitu wanafanya the whole day ni kukaa tu computers wakifanya mambo zao.
Mwingine ako na computer na laptop but anaandika assignment kwa paper then mimi ndio nitatype nikicorrect errors. Sadly hio kazi yake yote iko kwa grok database

Sikufanya Procurement na let me withhold it but naconsider kurudi kufanya Procurement ama Supply Chain Management kwa hizi kasneb ama knec.

1 Like

The baddie in the kitchen got to your head by attacking your ego directly. Anyway, what are they manufacturing at that workplace to earn 200k pm?

Na ufanye biashara, kuandikwa wachia wamama, mwanaume ni kuhangaika akitafuta pesa zake kama tajiri.

3 Likes

Wameandikwa na serkali wako PP.

1 Like

Leo napitia Githurai nichukue bangi

1 Like

Uta fyatu

yaani mshahara ya messenger ndio unapeleka Airport kwa malaya?

Messenger na nimesoma wacha matusi.

meme laugh cartoon

Hizi hekaya zako huwa entertaining sometimes, vuta bangi, tomba maraya na uhame kwa mamako.
Yule sistako amechukua ID umlete hapa kenol nimpatie kazi

Juzi ulifail interview. Wewe ulipata job lini?

I wonder kama this guy is ever serious in life ama ni kutroll kimpango!Maybe is on admin payroll to channel traffic

kijana ya mwihoko unaumia