Kila saa nikijaribu ku upload pic,inakataa na sielewi kwa nini…natumia opera mini btw
tumia UC Browser its better…
Angalia huko chini kabisa utaona option ya kuchagua pic then just click on post