azamtel is on the way.
[ATTACH=full]179646[/ATTACH][ATTACH=full]179646[/ATTACH]
Halotel wako vizuri sana. Wadar msijidanganye na TIGO yenu, hakotel hataree huku Mikoani. Bando zao ni muafaka sana tofauti na hz Huduma eti uwe wanafunzi/chuo.
Hao titicielo ndio siwaelewi kabisaaa, sijui walipo nimewaona tu wakigawa gawio na serekalee.
Nasubiri line zao za university
Halotel wako vizuri…mkuu watu wamekariri tatizo.
Mimi ni tomaso hua nataka kujaribu mwenyewe.
T,V,A mimi bando zao za data sizielewi.
Zantel watu wanasifia ila sijatumia so sina uhakika
Mimi nipo huku Lindi vijijini Halotel wakati wanaingia walikuwa vizuri sana ila siku hizi wapo taratibu sana, airtel mchana wanakua afadhali ila usiku unajuta kununua bando lao ila vodacom ni masaa 24 wako poa na hata nikiwa nje ya huku voda hawasumbui ila gharama za bando lao ndio tatizo.
Mkuranga tu pale voda ni shidaa mno ila halotel ni balaaa!!
sipati picha akianza na 4G kabisa mamae afu data ziwe cheap mbona wapinzani watafungasha virago
kaka hiyo cha mtoto hebu test tigo 4G uone balaa lake unaupload video ya 4gb in 5minutes aisee si mchezo hii!
mkuu umeandika kwa chiki zaidi. Ebu tuambie wakti huu wa world cup, unaangalia kwenye azam tv?
usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
world cup inaonyweshwa na tbc ya tanzania, kbc ya kenya, rwanda national tv ya rwanda. na baadhi ya tv station za uganda. hizo zote zinapatikana kwenye decoder ya azam tv.
kuhusu swali lako, ndio natizama world cup kupitia king’amuzi cha azam.
ondoeni fikra mgando kuwa ili uone world cup kwa tanzania, lazima umiliki decoder ya dstv.
una swali lingine ndg?.
hawaonyeshi mechi zote,
mzee unatizama game zote za world cup?.kazi unafanya saa ngapi?.. pesa unatafuta saa ngapi?.
au ofisi yako ni vibanda vya kubet?. hahahaha
- sio lazima niangalie mechi zote ila hio ninayoitaka ndio ikawa haionyeshwi.
- pia usikariri maisha kila mtu ana njia zake anazotafutia maisha.
kuongezea hizo kina TBC sio HD ukiangalia kwenye TV nzuri za Flat inaonesha ukungu tu, tofauti na DSTV ambayo ni HD
basi sawa mzee wa mikeka.
mkuu umejibu ambacho sikuuliza.
ningekujibu ulichoniuliza usingeweza kunielewa, ubongo wako mzito sana.