mobile network companies in tanzania should pull up their socks, bakhresa is coming to invest in same sector.

mimi nilipo halotel ndiyo yenye kasi zaidi kushinda voda,tena hata yale maeneo ambayo wote halotel na voda hawajafunga mitambo ya 3g bado utakuta halotel inauwafadhali ukilinganisha na voda

Safi kabisa

mtu yoyote anayedai kwamba 3g ina kasi kuliko 4g ni

  1. either kifaa chake hakina 4g na anadandia dandia tu
  2. yupo eneo hakuna 4g, mfano vijijini
  3. hajui kuweka 4g kwenye kifaa chake.

haijawahi na wala haitatokea halotel kuwa na speed kushinda vodacom unless na wao wa upgrade mitambo yao iende 4g.

vodacom 4g speed yake inarange 40mbps mpaka 50mbps kama hufahamu kidunia hio speed ni one of the best.

Halotel mijini ni around 1mbps na ukienda maeneo yasiyo na watu ndio utapata 10mbps mpaka 16mbps hivi hapo ndio uwezo wa 3g unapokwama.

unaishi eneo gani, unatumia kifaa gani kinachotoa speed kubwa kwa halotel kushinda voda?

Aisee!! Ni jambo jema sana

nimeisoma hii habari ila kuna kitu watu wanatakiwa wafahamu, azam watarusha mitambo yao kwa frequency ya 700mhz, hii ni frequency ngeni na simu zetu za kawaida hazikamati hio frequency hivyo usitegemee ununue kitecno chako ama ki samsung upate network yao. hapa ndio nadharia kibao zinajitokeza.

-je watakuja na simu zao kama smart? wafungie kila kitu kwenye ecosystem yao?

-je watatoa huduma za mobile data kama kina voda ama watajitofautisha na kusambaza internet za majumbani?

-je ni data tu ama wanakuja pia na kupiga simu na sms etc? maana hio band sidhani kama ni rafiki wa hivi vyengine.

kwa muono wangu naona kama hawaji ku compete na kina voda bali watataka kuwa kama zuku ama Faiba za kenya. watawale sebule yako kwa kukupa tv na internet.

zuku kwa maeneo ya masaki penisula na kinondoni anauza internet yake ambayo ukinunua unapata chanell za zuku na huduma.ya kupiga simu bure, badala ya kutumia dishi unatumia internet yao.

hivi pia ndio nchi zilizoendelea kama marekani wanavyofanya.

au alternative ni kwamba wawe wanapewa nguvu na serikali kwa kupewa misamaha ya kodi ili waweze kufanya kazi kwa gharama nafuu kuliko kina voda, ila sioni bakhresa kushindana na voda na kumshinda maana hawa jamaa ni ma giant,

ni kama hao dstv uliowafananisha na azam wala hawafananishiki na sidhani kama azam anachukua wateja wa dstv bali ana wateja wake tofauti. wateja wakubwa dstv ni waangalia mpira, content za kimagharibi kama series, movies etc vitu ambavyo huvikuti kwenye azam kwa ufanisi kama dstv. azam nae ana wateja wake wahindi, movie zilizotafsiriwa na content nyengine za kimashariki. kukupa tu hint

last time kwenye Bid ya ligi kuu uingereza Dstv alishinda na kulipa dola milioni 300 ambayo ni karibia bilioni 700 ya kitanzania ili aonyeshe ligi ya uingereza tu, hio ni zaidi ya nusu ya utajiri wa bakhresa hivyo unaona jinsi gani walivyo tofauti.

ukija kwenye simu ni hivyo hivyo kina voda wanalipa hadi bilioni 200 ku expand tu network (kujiongeza sio kuanzisha) hela ambazo Bakhresa ni ngumu kuzipata.

kuhitimisha mkuu Bakhresa anaweza kufanikiwa na soko ni lake kuliteka ila anatakiwa ajitofautishe, atoe internet unlimited za majumbani ambazo unalipia kwa mwezi, ila akiwaiga kina voda na tigo na kuja na mb za kupima na kutarget simu za mkononi zaidi basi ajifunze zaidi kwa smart, Zantel, sasatel, TTCL etc

Halotel ndio walikua wanashika mkongo wa Taifa that’s why internet bundles zao zilikuwa cheap na speed lakini baada ya serikali kuipa TTCL everybody knows what happened

Halotel walikua wadominate biashara ya internet Tanzania wao wenyewe to the extent kwamba ndio wangekua regulators mpaka wa Internet providers wengine kwa gharama za serikali ya Tanzania lakini kitu JPM alichowafanyia hawatakaa wakisahau

unafungaje wifi ya halotel mkuu?

Dstv hajapata bado mpinzani hasa kwenye quality, angalia kombe la dunia leo nani mwenye picha na chambuzi zilizoenda shule kama Dstv. Huko mtaani kweli kuna Azam lakini vipi kwenye makampuni makubwa kama mabenki, mahoteli makubwa na maeneo ‘posh’, Dstv ndio inayotamba zaidi.

dstv ninayoizungumzia mimi ni ile ya inayo operate ndani ya mipaka ya tz, siizungumzii dstv ya uingereza, south africa na nchi nyingine.

dstv “iliyogalagazwa” na azamtv ni ile yenye ofisi zake dar es salaam.

bisha ubishayavyo, ukweli utabaki kuwa ukweli.kwamba azamtv, imetibua soko la dstv kwa upande wa tanzania.

content pekee waliyobaki nayo dstv ni ligi kuu ya uingereza. nje ya hapo hamna kitu.

kama ni series, siku hizi wabongo wana vyanzo vingi vya kutizama/ku download series.wala hawajishughulishi na dstv.

kunitolea mifano ya dstv ya uingereza iliyowekeza mabilioni ya fedha katika ligi ya uingereza, ni kujaribu kukwepa ukweli.

kwa taarifa yako, ukiachia taasisi binafsi, ofizi za umma zote zimefunga madishi ya azamtv. ikulu ya magogoni, bungeni dodoma na ofisi zote za wizara zimefunga madishi ya azam tv.

shida kubwa tuliyonayo watz ni fikra mgando na negative mentality.

wengi wetu hatuamini kwamba yupo mtz anayeweza kuwekeza katika sector ya mawasiliano ya simu za kiganjani bila kupewa financial support na wazungu.

mnanikumbusha enzi za prof. muhongo wakati huo akiwa waziri wa masuala ya madini na nishati. alidai uwezo wa matajiri wa kitz ni katika kuwekeza kwenye viwanda vya juice na vitafunwa(cake, mikate nk).

sasa sijui anaficha uso wake wapi anaposikia bakhresa anaingia rasmi kwenye sector ya mawasiliano. shubamiti.

Azam telecommunication
Let’s suggest brand name

Azatel
Azacom
Azat
etc.
Name yours

azamtel itapendeza zaidi

hahaahaahaa

Azamtel

Hamna kitu, kila kampuni ikija ni story hiyo hiyo. yeye hataki faida, atarudishaje fedha zake. Mwongo mkubwa.

sawa mteja mfu wa tigo/voda…tumekusikia.

sijakuelewa

[ATTACH=full]179622[/ATTACH]
AJe na vifurushi vipya cheap zaidi

Kaqmpuni gani hii