Mobile loan app

Niaje wadau.Nilichukua ksh40k kwa loan app flani.Iko due leo but sioni kama niko na hio pesa.If I block access to my contacts wataeza kupigia mafans kweli ama already wali download wakaweka kwa database yao?Saidieni kabla kunuke naumia kwa ground.

Billionaire gani hii sasa inakopa adi kwa Tala apps. Si uuze ata steering wheel ya your imaginary X6 ujisaidie nayo kwanza.

Ng’oa Whatsapp.

Ukinunua majohnny walker ulikua unaambia waiter na madem kwa bar yote wakuite Jaduon’g’noh. Thinuria sasa pole pole

Kama wanapigia contacts zako, wacha wapige. Kweni iko nini?

People on your contacts don’t care that much as you like to think.

Enda ubapesa. Peer to peer lending. Chukua ingine lipa hio ya kwanza. PS: What you do with this info is up TO YOU.

Do you care for your credit rating?

exorbitant loans from those apps dawa yake ni kutolipa …

No I don’t care.Nimekuwa CRB tangu nikuwe retrenched.Been repaying moss moss.Wenye waliniweka CRB gave me an offer ya kulipa 270k one off I refused juu walishanichomea kwa kuniweka crb nikapoteza ma offers motomoto so I told them I will pay pole pole 20k per month mpaka deni iishe.

Njoroge aliwambia hataki upuzi yao so hawawes pigia MTU. ION, ukipunguza umalaya utalipa loans zako zote bila wasiwasi.

Weee mbwa niliacha pombe na malaya:D:D

Hata Jeff bezzos hukopa wee ngahamia

Bro sijaguza malaya this year.Hata pombe sikunywi.Hio pesa ilizama kwa bizz yote.

Credit ratings only affect those with shitty cashflows. Financial institutions long realised that sio CRB hulipa loan bali no borrowers. Most list as a compliance issue rather than out of diligence

Uninstall io app there is nothing they can do apart from kupigia referees yenye ulieka. Na hawawezi kueka CRB

Extremely true. Been there before

The sent messages to your contacts?

I was referring to how people on your contact list don’t care much about you. So hakuna kitu ya kuworry about

Shiity life. Yaani wewe kama si kusumbuana na bibi kwa suoermarket juu ya shopping ni kukulwa pesa na malaya ama kuwekewe mchele kwa bar

This app will have access to your contacts.
Accept.
Reject .