Mnaonaje hizi frames?

I’ve been designing custom wall picture frames made by sandwiching a photo print between two acrylic sheets then held together by black rivets. I make them in A2 size (about 60x40 cm or 24x17 inches) and each goes for Ksh. 1,500.

Frames niliona ziko sahizi kwa market ni either soo expensive ama old looking ama bad quality. Nikaamua nitatengeneza yangu.

Hizi frames ziko beautiful ama? Alafu, mtanunua nikiweka Jumia kwa hiyo bei? Feedback is highly appreciated.

Ktalk birrioneas only get attracted by hoes na watanunua 150/-, anything else pass mbloh, unajiongelesha.

kazi safi hapa. A3 & A4 unatengeza na ngapi?

A4 I sell for 500/=. Kazi safi. A3 ni 950/=