Mnajua ukwaju? Coast kweli ni raha.

In Coast where tamarind is common, it’s a commodity we don’t take lightly. We use it in food, for sauces or to make juice. Next time ukitembea Kenya, make a point of trying it out.
[ATTACH=full]414541[/ATTACH]

I hate the taste. me no like tangy tasting things.

Tamu sana, nikiwa keypee tulikuwa tunaeka kwa maji alafu hiyo juice tunamix na sukari. I think there are guys who sell it in powder form.

:D:D:DI still do it but ikishakuwa maji maji completely,natengeneza nayo ice zile za juala . Tam sana

Natural lollipop

Do you grow some, there in Ukambani?

Very healthy in the diet.

They do well in warm areas Coast, Eastern & even Parts of rift valley ( west pokot).

Hufanya viazi karai kupata taste tamu ya uchachu.

Ukipasua fried cassava kisha unyunyuzie ukwaju, mambo huwa sawa.

Makes great juice on hot days mix with water some honey and some vanilla flavour or mix with some passion !

Tamu sana…Lazima kula biriyani na kuteremsha na ukwaju
[ATTACH=full]414617[/ATTACH][ATTACH=full]414618[/ATTACH][ATTACH=full]414619[/ATTACH]

[ATTACH=full]414622[/ATTACH]

Hapana ,sijui kama wanagrow but naskia wanaweka seedlings @matakoni kisha inamea kimti . But feel free kuwauliza

:D:D:D

Maliza hio ghasia.