MMNN: bana mnatuangusha..

Two thieves Found dancing naked in Mombasa after Stealing a Car ,they are still dancing naked till the owner of car arrives.

1 Like

Meff,efidens.

2 Likes

Bila details, hii ni fake news!

Kaa hakuna mbisha hatuweki.
Tena hii info yako ni half baked, ni mtaa gani hii maneno imetokea.

5 Likes

wapi? Dunga Unusee?

1 Like

Ile Mihadarati inatumika Mombasa is on another level. Jana iko mama pale “ethiopia” aliamua hawezi Tafta loo. Ssshwaaaa hapo tu Kwa njia kuanikia raia canaan na hio jua yote. .shait

10 Likes

Area yetu kila mtu ako Na nguo. Labda huko kiembeni , hehehe

9 Likes

A man who allegedly murdered a Swiss couple is fit to stand trial, a court was told on Tuesday.
Geoffrey Mwaki alias Jeff is suspected to have murdered Paul and Marianne Borner.
A report from Coast Provincial General Hospital declared Mwaki of sound mind.
[ATTACH=full]124187[/ATTACH]
News hupeanwa hivo

8 Likes

When it’s time to go, it’s time to go.

2 Likes

Labda ni pale Toa Tugawe

2 Likes

Hehehe, saitaan.

2 Likes

Hehee naskia ni hapo tu bamburi around Masters. .

1 Like

[ATTACH=full]124188[/ATTACH]

1 Like

:DAta hapa naona iko mihadarati

hiyo ni nyoka ameshika kwa shoulder?

[ATTACH=full]124189[/ATTACH]

[ATTACH=full]124190[/ATTACH]

8 Likes

[ATTACH=full]124191[/ATTACH]
Hapa ni karibu Na kiembeni heheh

8 Likes

in my opinion, a black person is the epitome of stupidity, yaani hii asubuhi yote MTU anaitisha picha ya nude men dancing?

4 Likes

Ama mganga anapanga kukamua politicians…

6 Likes

hehehe by the way marketing 101. Professor Jumabekavu. hapa amejipanga kweli

8 Likes

[MEDIA=facebook]id=10154942527554109;type=video[/MEDIA]