Nigga died afterwards…baada ya kumeza chupa mzima ya I pombe in under 2 minutes… staying sober is an underrated habit:cool:
[ATTACH=full]450286[/ATTACH]
Bonobo, pombe na peer pressure ni dangerous combination, how they enjoy this kind of lifestyle is beyond me
May he drink with Odin at Valhalla,die 1000 times and resurrect to continue drinking
oliskia wapi alinyuria?
He died.
Nikiwa mwanza shenanigans, one of our buddies bro alifika kikao so watu wakaamua ATI tuchape shots za Jägermeister. At that point I was like 5 or so beers down. Nilichapa hiyo shot na nausea ilifuata nilikuambia washroom nikatapika kila kitu.
So this guy taking it flush bila hata kusimama imenishangaza.
Alcohol poisoning ilimweza hapo
May his soul rest in peace