@mixx after kucheki your soul mix I remembered you were to upload the 8hr long club mix that wanakijiji suggested you do in segments, kwani kuliendaje? Ama uliiweka which category?
Check through the postings…he uploaded a few segments!
Done that, hamna
Hiyo soul ya 2hrs iko sawa. Tried downloading it but wapi.
Uliza @bjurmann link to that thread…
Or better still
http://www.kenyatalk.com/index.php?threads/mixtape-part-2-soulmixx.6089/#post-88449
Hiyo ni moja zingine ziko tafuta!
Hio niliangusha jana na iko juu tu sana. Checked everything kwa listings za @mixx lakini wapi…hamna
1 Like
Ok, wacha aje atueleze kunaendaje kwani! Ama @Deorro unajua penye ziko?
Sijui mimi